Nifahamisheni hili kuhusu Ardhi University

Nifahamisheni hili kuhusu Ardhi University

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo vingne na ambao GPA zao zpo chini kabisa ambazo hazifai kuomba kupitia tcu

2: Na je hapo ardhi university kuna program ya pre bachelor course kwa wale ambao hawana vigezo sahihi vya ufaulu?

Natanguliza shukrani zangu kwenu asanteni saana
 
Ilikuepo programme hiyo lakini ilikua ni maalim kwa wasichana waliopata a lama ambazo zisingeweza kuwaingiza university direct. Miaka mitatu ilopita.
 
Ilikuepo programme hiyo lakini ilikua ni maalim kwa wasichana waliopata a lama ambazo zisingeweza kuwaingiza university direct. Miaka mitatu ilopita.

Kwa sasa hivi program hyo haipo mkuu?
 
Maana kuna mtu anataka akasome architecture pale...
 
sifa zako ziko je ndg nikudaidie.anza na f4 na pia GPA yako.ukiona ugumu wa kuweka hapa ni pm.
 
Back
Top Bottom