Nifahamisheni siku zenye uwezekano wa mwanamke kupata mimba

Nifahamisheni siku zenye uwezekano wa mwanamke kupata mimba

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
187
Reaction score
68
Habari ndg zangu wana JF,

Kama habari hapo juu kinavyojieleza hapo napenda kujua siku ambazo kuna uwezekano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba.

Mfano:Ukifanya mapenzi na mwanamke siku mbili au moja kabla ya siku zake kuanza (Hedhi) ukafanya naye mapenzi siku ya 26 au 27 mwenye mzunguko wa siku 28 kunauwezekano wa huyo mwanamke kupata mimba.

Nawasilisha kwenu wana Jf..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndg zangu wana jf.
Kama habari hapo juu kinavyojieleza hapo napenda kujua siku ambazo kuna uwezekano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba.
Mfano:Ukifanya mapenzi na mwanamke siku mbili au moja kabla ya siku zake kuanza (Hedhi) ukafanya naye mapenzi siku ya 26 au 27 mwenye mzunguko wa siku 28 kunauwezekano wa huyo mwanamke kupata MIMBA.
Nawasilisha kwenu wana Jf..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yashaharibika nini?
 
Mimba yaweza patikana kuanzia siku ya 13 mpaka 21 kuanzia kuanza Kwa hedhi
Hapa namaanisha kuwa
Siku tano yaani trh ya kuanza hedhi mpaka siku ya tano hapo bleed yaweza kata
Hesabu siku tano au saba baada ya kukata bleed,hizo ni siku salama
Siku za mwanamke kupata mimba ni kuanzia siku kati ya 13 mpaka ya 21 au 23

Ila kuanzia siku kati ya 21 mpaka 28 hapa mwanamke hawezi pata mimba

Ndiyo maana wataalamu wanakwambia siku ya 15 tokea mwanamke aanze kupata hedhi,ndiyo siku nzur ya kupata mimba,yaani hapo hubahatishi

Niliwahi ambiwa siku chache kabla ya hedhi ni hatari kwa maana yai linakua limeshapevuka kwa usemavyo wewe wamaanisha sikweli?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom