Nifahamisheni siku zenye uwezekano wa mwanamke kupata mimba

Nifahamisheni siku zenye uwezekano wa mwanamke kupata mimba

Mimba yaweza patikana kuanzia siku ya 13 mpaka 21 kuanzia kuanza Kwa hedhi
Hapa namaanisha kuwa
Siku tano yaani trh ya kuanza hedhi mpaka siku ya tano hapo bleed yaweza kata
Hesabu siku tano au saba baada ya kukata bleed,hizo ni siku salama
Siku za mwanamke kupata mimba ni kuanzia siku kati ya 13 mpaka ya 21 au 23

Ila kuanzia siku kati ya 21 mpaka 28 hapa mwanamke hawezi pata mimba

Ndiyo maana wataalamu wanakwambia siku ya 15 tokea mwanamke aanze kupata hedhi,ndiyo siku nzur ya kupata mimba,yaani hapo hubahatishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom