Nifahamisheni Umri wa Lady Jaydee 'Jide'

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
669
Reaction score
846
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
 
 
Miaka atakayo kutajia msanii yoyote awe bongo movie au mwanamziki akikutajia kumi na tisa ongenza miwili kama jaydee 37 ongeza miwili
[emoji13] [emoji12] Hutaki nao ujinga kabisa mkuu
 
Embu acheni ujinga mi namsikia jady dee niko form 1 afu leo mniambie eti kanizid miaka saba tu, naona mnaanza kupenda ujinga
Kabisa naunga mkono HOJA... Mi Niko Form One yeye ana hit town hapa.. halafu mnaniambia namzidi miaka 6??? ACHENI UBOYA AISEE
 
JayDee mwezi wa pili atafikisha miaka 23. Muda unakimbia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…