Nifahamisheni Umri wa Lady Jaydee 'Jide'

Nifahamisheni Umri wa Lady Jaydee 'Jide'

Embu acheni ujinga mi namsikia jady dee niko form 1 afu leo mniambie eti kanizid miaka saba tu, naona mnaanza kupenda ujinga
Form one ya enzi hizo ni miaka 13 na kuendelea

Jide wimbo uliomtoa ni machozi mwaka 2000.... Sasa rejea kipindi hicho alikuwa na umri gani maana sidhani Kama alizidi 22.. Sasa jumlisha miaka 16 alafu utoe na miaka yako uone kama itazidi hata miaka Tisa

Jide anaitwa legendary si kwa sababu ya umri bali ni moja ya waimbaji wa kike walioanza kuimba mapema bongo flava ambayo si kongwe Kama taarabu ama chakacha
 
Namkubali sana uyu mdada wapo walianzisha bifu nae wenyewe wamekaa chonjo.
Komandoooooo JIDE
 
Kama hakui wala hazeeki basi ni [emoji89]
 
Sio chini ya 40.

Ila ukimuuliza mwenyewe atasema 37.
 
Mtoto ni majaaliwa walikuepo akina mwanamakuka na wakafa bila watoto sembuse jde mambo mengine mipango ya mungu
 
lady JD ni ageless umri wake ulisimama rasmi alipotoa singo yake ya kwanza
 
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
Tupe umri wako wewe kwanza
 
Kama nw ana37
Ina maana mwaka 2000 alikuwa na 21 wakat nipo darasa la tano

Mpaka namaliza chuo mwaka juz sasa tunakalibia kuoa huyu dada yupo tuu

Hazeek aisee
 
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
JD amezaliwa 1972
 
Kuna safari ndefu kufikia nchi ya viwanda, mi nafikiri ungekua wakati muhmu kujadili namna gani tungeanzisha viwanda vidogo ili kuongeza ajira Kwa vijana.

Sasa mkianza kujadili umri Wa kina lady jayde, cjui ray c nk. Huu ni upeo mdogo Wa kufikiri.

Ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom