wilfredMtesigwa
Member
- Jul 29, 2015
- 53
- 5
Kama kumbukumbu ziko Sawa mwaka 1984 alimaliza darasa la saba pale Mbuyuni primary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form one ya enzi hizo ni miaka 13 na kuendeleaEmbu acheni ujinga mi namsikia jady dee niko form 1 afu leo mniambie eti kanizid miaka saba tu, naona mnaanza kupenda ujinga
Wanaomkojoza wanatoa makapi badala ya mbegu,akipata jembe ulaya haki ya Nani mapacha watatu watamuhusu38 ila mpaka leo hana mtoto
Mtoto ni mipango ya Mungu38 ila mpaka leo hana mtoto
Umeulizwa mambo ya mtoto .... we nwanaumee wa dar38 ila mpaka leo hana mtoto
Hapa kidogo umemshtua jamaa.Una uhakika mtoto wako?
23 ya kuwa ktk tasnia.JayDee mwezi wa pili atafikisha miaka 23. Muda unakimbia sana!
Tupe umri wako wewe kwanzaHabari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
Kama Alimaliza la 7 mwaka 1984 inamaanisha hapo alikuwa na miaka 14,sasa jumlisha 32 mpaka 2016,Total 46.Kama kumbukumbu ziko Sawa mwaka 1984 alimaliza darasa la saba pale Mbuyuni primary
JD amezaliwa 1972Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
JD amezaliwa 1972
Kuna safari ndefu kufikia nchi ya viwanda, mi nafikiri ungekua wakati muhmu kujadili namna gani tungeanzisha viwanda vidogo ili kuongeza ajira Kwa vijana.Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....