JD amezaliwa 1972
Hivi kwa umri huu anaweza kuzaa watoto wangapi mkuu?Ni wa mwaka 1979 =37,zaidi ingia hapo chini.
Lady Jaydee - Wikipedia
Kupata mtoto ni majaliwa mkuu ya Mungu.MIE 27 YRZ TU NINA MKE NA WATOTO
Ni kweli ,hivi unachukua simu kuuliza umri wa mtu? Maana yake nini hasa, na ukishajua? Ukaloge, ama, nashindwa mfikiria mtu was a in a hi I.Kuna safari ndefu kufikia nchi ya viwanda, mi nafikiri ungekua wakati muhmu kujadili namna gani tungeanzisha viwanda vidogo ili kuongeza ajira Kwa vijana.
Sasa mkianza kujadili umri Wa kina lady jayde, cjui ray c nk. Huu ni upeo mdogo Wa kufikiri.
Ni mtazamo tu.
Ninavyojua mimi kwa umri huo anaweza kuzaa watoto wengi tu,kutegemea na spidi atakayoipata baada ya kuweza kuzaa,kwavile navyojua mimi mwanamama mwisho wake wa kupata ezi (damu za kila mwezi) ni miaka 45 - 50 wengine hadi 55 -60.Hivi kwa umri huu anaweza kuzaa watoto wangapi mkuu?