Nifahamisheni Vipimo vya Malaria

Nifahamisheni Vipimo vya Malaria

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Mtu anahisi na kujisikia ana malaria anakwenda kupima.
Akirudi unamsikia akisema:Nimekutwa na malaria 4
Mwingine utamsikia akisema:Mie nilipima nikakutwa na malaria 5

Naomba kuelimishwa, hizo namba kwenye vipimo vya malaria zinawakilisha nini?
Malaria ikiwa kali sana na ya hatari ni namba ngapi? Na malaria ambayo haijapamba moto na ambayo si hatari nayo ni namba ngapi?

Asanteni wataalamu.
 
Back
Top Bottom