UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
"Linanidai" badilisha lugha hiyoKuna jamaa linadaiwa laki mbili hapa mtaani linashinda juu ya mwembe jioni ndo linaingia ndani kumi na mbili katoka juu ya muembe[emoji28]
Mdai nae kila siku asubuhi saa moja kafika mlangoni.Jamaa anatabika kweli na hodi hodi.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Hela hana afanyeje chakula tunampelekea juu ya mti[emoji1] [emoji28] [emoji28]
I need to unganishe uchi zetuDawa ya deni ni kulipa atakaa huko juu ya mti hadi lini??? Alipe tu deni hakuna namna
Kweli aiseeDawa ya deni ni kulipa atakaa huko juu ya mti hadi lini??? Alipe tu deni hakuna namna
Na vyombo vya kujisaidia mnampelekea juu ya mti?!! Poleni kwa huo utumwa, mpelekeni kijijini akalime, akivuna aje alipe deni na akiamua kudhulumu atokomee jumla.Kuna jamaa linadaiwa laki mbili hapa mtaani linashinda juu ya mwembe jioni ndo linaingia ndani kumi na mbili katoka juu ya muembe[emoji28]