UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Kuna jamaa linadaiwa laki mbili hapa mtaani linashinda juu ya mwembe jioni ndo linaingia ndani kumi na mbili katoka juu ya muembe[emoji28]
Mdai nae kila siku asubuhi saa moja kafika mlangoni.Jamaa anatabika kweli na hodi hodi.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Hela hana afanyeje chakula tunampelekea juu ya mti[emoji1] [emoji28] [emoji28]