Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

shirim

Member
Joined
Oct 8, 2026
Posts
7
Reaction score
7
Habari ndugu zangu nina changamoto za usajili hapa wa majina mimi naitwa Erick Samwel Chule... Lakini kitambulisho changu cha nida kinasoma Elick Samweli Bulugu sasa kwenye vyeti natumia majina yangu halisi lakini hapa kwenye nida ndo nilichanganya mambo maana ukiangalia ni makosa mawili kabisa moja nimekosea herufi ya jina langu la kwanza badala ya R nimeweka L na kosa la pili nimekosea jina la ukoo badala ya Chule nimeweka Bulugu naombeni ushauri jamani nijue nini cha kufanya maana nipo dillema hadi sasa...
 
Hapo chakubadilisha ni hayo ya nida maana ya kitaaluma ni vigumu, utaanza kwa wakili au mahakamani na mwisho kabisa nida kweyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kweli mkuu parefu sana maana hata jinsia tu kwenye nida nimejaziwa mwanamke🤣
Dah mwanangu unavipengele. Ila hakikisha unafuatisha kwenye cheti cha form 4.
 
Muhimu ni alama za vidole, nenda nida uombe mchakato wa kurekebisha taarifa.
 
Back
Top Bottom