Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Tungule mchuzi unakuwa mchungu ?
Sijakusoma mammy, umekusudia nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungule mchuzi unakuwa mchungu ?
Sijakusoma mammy, umekusudia nn?
Tungule si ndo nyanya chungu or? na je ukisagia kwenye mchuzi nilikuwa nauliza si utakuwa mchungu balaa?
Hahhahahah doh tunaongea lugha tofauti.
Tungule huko munaita nyanya
Nyanya chungu huku tunaziita hivyohivyo nyanya chungu nikisema tungule nimekusudia nyanya au tomato!
hahahah yaani ulikuwa umeniacha hoi
mie nikajua llloh sasa nyanya chungu tena zisagiwe kwenye blender hatari
Kwa hiyo Tungule ni Kiswahili? duh
First Lady 1 "Tungule" kwa kiswahili cha pwani tunamaanisha nyanya(tomatoes) zile za uchingu tunaita "ngogo"Tungule mchuzi unakuwa mchungu ?
Tungule mchuzi unakuwa mchungu ?
First Lady 1 "Tungule" kwa kiswahili cha pwani tunamaanisha nyanya(tomatoes) zile za uchingu tunaita "ngogo"
tungule...lol! hicho kiswahili sijawahi kukiskia, itakuwa lugha flani nyingine. ngongo ndiyo nyanya chungu?
Qqxqdq,iwp:mfpdfiiwiwplipiipwilwpwliwiwiiwwwiiiiiwwwwwllwlwllllllllllllllliiilllllwii
hizo tunguli ni nini kwanza wataalam sijaelewa?
vipi mkuu, uko sawa lakini?
Viroba noma.....
Tunguli = Tungule
Ndo nyanya in Zanzibar
Ukienda Zanzibar ndo lugha yao mara ya kwanza kuwa huko 19... Nilikuwa najichanganya kweli
Tunguli = Tungule
Ndo nyanya in Zanzibar
Ukienda Zanzibar ndo lugha yao mara ya kwanza kuwa huko 19... Nilikuwa najichanganya kweli