Nifanyaje ili nimuache bila yeye kuwa na maumivu?

jofrey amayo

New Member
Joined
Feb 2, 2025
Posts
3
Reaction score
10
Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu?

Sababu najua akinisubiri umri utasogea sana. Tuna umri wa 20s, ninamzidi miaka 3
 
Dogo unataka kuoa na una 20s? Aiseee
 
Akikuloga ukawa chizi ulete mrejesho
 
Acha uhuni dogo utakufa mdogo sana waganga hawahitaj hela ndefu kukuumiza wewe ni kifaranga mweusi tu.
Acha mawenge nyie mtaachana tu muda ukifika hakuna haja ya kumkimbia kwa style hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…