Nifanyaje ili nimuache bila yeye kuwa na maumivu?

Nifanyaje ili nimuache bila yeye kuwa na maumivu?

Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu?

Sababu najua akinisubiri umri utasogea sana. Tuna umri wa 20s, ninamzidi miaka 3

Ondoka tu bila kumsemesha, kama utakuwa aumie muoe uende naye, Jinga
 
Miaka 20 unataka kuoa wewe ni maskini na utakufa ukiwa maskini labda ubadili fikra zako.Hakuna mwanamke anayempenda mwanaume asiye na hela
 
Mwambie wewe una ukimwi,atakimbia kama paka pori
Kama namuona atakavyofungulia turbo😏
1000037533.jpg
 
Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu?

Sababu najua akinisubiri umri utasogea sana. Tuna umri wa 20s, ninamzidi miaka 3
downloadfile.jpg
 
Mwanamke usimuoe kwa kumuhurumia utajuta kama ni lana za kuliliwa wengine tungeshakuwa machiz muache kama alivyo katafte pesa.
mwana umri bado sana na akipata mwenye pesa atakuacha hapohapo anahama mkoa.ww bado mdogo na hujayajua mapenzi haya treat kama wakiume mwanamke nitofauti na sisi tia huruma utakuja kulia bure
 
Leta namba yake tumfundishe tabia nzuri.............maana michezo ya kudindisha imekutupa mkono tayari
 
Back
Top Bottom