Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.
Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.
Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu?
Sababu najua akinisubiri umri utasogea sana. Tuna umri wa 20s, ninamzidi miaka 3
Kama namuona atakavyofungulia turbo😏Mwambie wewe una ukimwi,atakimbia kama paka pori
Huyu mwamba yeye hakimbii tu huwa anafutika kabisa🤣🤣Kama namuona atakavyofungulia turbo😏View attachment 3348275
Ya home or away😆Kwenye betting hiyo ni GG/Both team score 😂
YoteYa home or away😆
Hapana badoUlikula tunda?
Sijashiriki naye badoUchezee mtoto wa watu then ukatae kumuoa ..........kwanza ..kwanini ulitoa bikra yake?? Basi na wewe itabidi wakukwangue hilo Linda box 📦 then uende uendako
Sasa hofu yako n nini, yupo wap nimshauri?Hapana bado