nifanyaje kupunguza kitambi?

nifanyaje kupunguza kitambi?

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
msaada ndugu zangu,nataman sana kumbunguza kitambi kwan nimenenepa mpk najiogopa hata kutembea jasho linanitoka kinoma,nataka kujua nile msosi gan inayopunguza mafuta mwilini
 
mkuu jaribu na kunywa maji ya moto wiki moja mfululizo utaona dalili!!
 
Nenda gym pia uanze kukimbia, kuruka kichura chura kupiga push ups na kufanya sit ups mpaka 50 kwa siku au hata zaidi (hizi huleta maumivu siku za mwanzo maeneo ya tumbo lakini ukishangangamara maumivu yatapotea) cheza mbali na majunk food. Ukiweza kufuata ratiba utakayojiwekea baada ya mwezi tu utaanza kuona mabadiliko makubwa sana, unene uliokithiri ni hatari kubwa sana kwa afya yako. Kila la heri.
 
lakini angalia kisiishe kabisa cha kuwekea heshima mtaani!
 
swali lingekuwa nisile nini, sio nile nini!
 
kwanza jiulize ULIZALIWA NACHO? kama hukuzaliwa nacho UMEKIPATAJE?
Then anza REVERSAL PROCESS.
ka kifupi hakikisha 60% ya unachokula ni matunda na mboga. Else you're in for a vicious circle of spending (...until an external factor intervenes to break it)
 
Kafanye yafutatayo halafu bada ya mwezi mmoja leta mrejesho hapa...

-Tumia asali kuunga kwenye chai badala ya sukari na tumia brown bread badala ya white bread kwa ujumla wakati wa chai au kifungua kinywa pamoja na soya badala ya majani ya chai, Hii husaidia ku-utrick mwili kwani hukuwezesha kujisikia umeshiba wakati woote na kupunguza tabia ya kula kula na kuufanya mwili uanze kuyeyusha mafuta ya mwilini ya ziada kwa ajili ya kujipatia nguvu/energy

-Fanya mazoezi ya kata tumbo au mazoezi yoyote ya kujenga misuli kwani husaidia mwili kuyeyusha mafuta kwa ajili ya energy ya kuijenga hiyo misuli

-Chukua simu yako(kama ni mchina) kwa sauti yako mwenyewe rekodi maneno yanayohamasisha mwili kupunguza kitambi na urekodi simple statements katika present tense kwa lugha yoyote,
Mfano : Kitambi kinapungua siku kwa siku, kiwango cha mafuta yangu kinapungua kila kukicha, Mimi ni mtu mwenye afya njema na nisiye na kitambi, Kitambi ni kitu cha hovyo katika maisha nk.

Sikiliza muda wowote angalau mara mbili kwa siku na si lazima uweke sauti ya juu sana, hata kama inanong'ona ubongo unaweza kusikia na kutambua sauti yako hata kama wewe huisikii. Hii inasaidia kuufanya ubongo wako uamini kuwa unapewa command ya kushughulika na mafuta mwilini, BELIEVE ME baada ya wiki nne utashangaa matokeo yake(technique hii wanaitumia wanamichezo wa kimataifa hasa timu za mpira za uingereza na wanariadha)

-Angalau mara moa kwa wiki pata funga yako moja ya juisi natural hasa apples na avocardo yanayosaidia kuondoa sumu mwilini hasa zile zinazojificha kwenye mafuta kama lead na vyuma vingine vizito(heavy metals)..

-Hakikisha wakati wa kula unatafuna chakula kwa muda mrefu kabla ya kukimeza, usile kama mbwa fasta fasta, Chakula kikitafunwa vizuri humengenywa vizuri na kuutosheleza mwili na hupunguza haja ya kula sana kitu kinachoupa mwili muda na nafasi ya kujisafisha wenyewe. Tafiti za hivi karibuni zinaonesha 60% ya chakula anachokula mtu hutoka mwilini bila kumeng'enywa na hii husababishwa na kutokutafuna chakula vizuri na kwa muda mrefu kwani mmeng'enyo wa chakula mara zote huanzia kinywani

Mnegine ni ya kawaida kama kuepuka kula vyakula vya mafuta kupita kiasi, vyakula vya makopo na vyenye sukari nyingi na yoote wanayoshauri wataalamu wa afya....

Usiniulize taalauma yangu we kafanye baada ya mwezi njoo utoe ushuhuda hapa....

Dokta umesahau na kumwambia akapime ngoma afu akae wiki moja ndo akachukue majibu yake
 
Ingia road mkuu yaani kimbia,jiwekee ratiba asubuhi sana na jion mara kutoka job,ndani ya mwezi utaona tofauti.
 
Pole sana Mr. Ni kweli inahitajika kuchukua hatua za makusudi kupunguza hiyo hali sababu siyo salama sana kwa afya. Inatakiwa kilo ulizo nazo ziwe zinaendana na kimo chako na zikizidi zinaweza kukuletea madhara na siyo lazima uyaone mara.
Unatakiwa kupunguza ulaji wa vyakula vyenye wingi wa mafuta pia vyakula vyenye wanga mwingi. Vile vile kuzingatia mazoezi ni muhimu sana. Waweza pia kutafuta lishe maalum iliyoandaliwa kiasilia kwa ajili ya kupunguza unene na mafuta mwilini hadi kiwango unachokihitaji. Fuatilia kwa makini maelezo ya kuhusu kupunguza unene/uzito hapo chini.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 
Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 89
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 88
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 84
Back
Top Bottom