Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app