Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

Najaribu kuvaa viatu vya mtoa mada naona havivaliki, jamaa kaandika in a positive way na picha kaweka ila majibu sasa.. nna uhakika app ya JF ataifuta fasta!!

#47 still no answer
 
Sasa Mkuu wewe mwanaume rangi ya ngozi unataka ya Kazi gani????
 
Utataka weupe gani kama wa nabii frola au wa James delicious
 
we we jamaa ni mzuri ila unaharibiwa na hawa basha weusi wanaoshindia mihogo na gym

pia acha kunywa wine na black currents

Kunywa zaidi maji ya Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Eeeh Mungu tunatubu kwa kula lile tunda, hii adhabu unayotupa sasa ni nzito mno.
😂 😂 😂 😂
Jael una nini lakini?
 
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli haya usemayo basi ninakushauri nenda hospital za kueleweka kwa vipimo wakufanyie vipimo vya hormones. Kuna watu wengine wakiwa na hormonal imbalances inaathiri skin pigmentation. Hivyo waombe wakupime:
1. Hormones T3, T4 na TSH
Imbalances hapa inaathiri almost kila kitu kwenye mwili wako na hapo utakuwa na kitu inaitwa Hypothyroidism (underactive thyroid) or Hyperthyroidism (Over active thyroid)
2. Adrenal hormones- cortisol am na cortisol pm (imbalance yake huwa ni mbaya sana hii maana madhara yake mpaka Ngozi pigmentation, heart function, metabolism, brain function etc)
3. Iodine levels - ikipingua ni issues za goitre, skin, brain etc

Kila la heri.
Zogwale
 
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
 
Back
Top Bottom