Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono...af jamaa limetupia picha kabisa..ni mgen jf nin.hahahahA road to LBGT
View attachment 1337324
Mkuu unataka urudi kwenye ujana huh[emoji23][emoji23]kwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huyu ni wewe? Sasa mbona ushakua babu?kwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app