kwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee Mola twakuomba unusuru vijambio vya vijana wetu...Aisee
Astaghafirulilah... hilo cheko na mwandiko wako... si bure wallah. Kuna wazazi wengine wana bahati mbaya sana... Hasara hii ni kubwakwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kiume unatafuta ung'ae!!!
Anataka kuwa remtullahSasa Mkuu wewe mwanaume rangi ya ngozi unataka ya Kazi gani????
Sijaona tatizo kwenye hiyo rangi mkuu.kwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Eeeh Mungu tunatubu kwa kula lile tunda, hii adhabu unayotupa sasa ni nzito mno.
Tupige magoti tutubu mama.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jael una nini lakini?
Kama ni kweli haya usemayo basi ninakushauri nenda hospital za kueleweka kwa vipimo wakufanyie vipimo vya hormones. Kuna watu wengine wakiwa na hormonal imbalances inaathiri skin pigmentation. Hivyo waombe wakupime:Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaHabari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app