Nifanyaje mwanangu ndoto yake ni kuwa polisi

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
487
Reaction score
780
Habari ya jion Leo mchana nimejarbu kumuuliza Binti yangu ndoto yake ni ipi katika maisha yake huwezi amini anasema atamni kuja kuwa POLISI

Je kama mzazi naweza kubadili au kisitisha ndoto ya mwanangu binafsi natamani mwanangu awe hata nesi au mfamasia sasa hii ndoto ya kuwa POLISI imenichanganya sana naombeni ushauri hapa..
 
Watu tumezaliwa Polisi line a.k.a Kota za polisi , wazaz wetu wote mapolisi wengine wamestaafu na vyeo na nyota na hatuna maisha magumu km wengi wanavyochukulia kwa kuwadharau polisi na kuwapapatikia wazee wa JWTZ , Upolisi cyo laana wala mkosi ... 😆
 
Daaaa ktk Maisha Kila mtu na Apendacho, mpe saport, mi kijana wangu anapenda JWTZ.
Tumeshaandaa Barua ya maombi kesho anaenda Dodoma kupeleka Barua.
Akajaribu Bahati yake, Maana hizo nafasi Bila Refaree... Nasikia Kutoboa ni Ngumu.....
 
Natamani angekuwa mwanangu! Amechagua fungu njema
 
Msimlie matendo ya askari walio wengi tena kwa ushahidi wa video ili aichukie hiyo kazi, Akilaza mtishie laana😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…