Huyu hana ndoto ya kuwa JWTZ, sema yuko kwenye harakati za kutafuta ajira.Daaaa ktk Maisha Kila mtu na Apendacho, mpe saport, mi kijana wangu anapenda JWTZ.
Tumeshaandaa Barua ya maombi kesho anaenda Dodoma kupeleka Barua.
Akajaribu Bahati yake, Maana hizo nafasi Bila Refaree... Nasikia Kutoboa ni Ngumu.....