Nifanyaje mwanangu ndoto yake ni kuwa polisi

Daaaa ktk Maisha Kila mtu na Apendacho, mpe saport, mi kijana wangu anapenda JWTZ.
Tumeshaandaa Barua ya maombi kesho anaenda Dodoma kupeleka Barua.
Akajaribu Bahati yake, Maana hizo nafasi Bila Refaree... Nasikia Kutoboa ni Ngumu.....
Huyu hana ndoto ya kuwa JWTZ, sema yuko kwenye harakati za kutafuta ajira.
 
Mwambie Upolisi ni kazi ya majitu yasiyokuwa na akili yale yanayofeli darasani! Kwa vile yeye ana akili za darasani hawezi kuchaguliwa huko!
 
Ana pepo la kuua/kuumiza raia huyo.
Mpeleke kwa Mwamposa akatolewe hilo pepo
 
Hakuna cheo cha polisi chenye nyota. Huko kuna visoda. Nyota ziko Jeshini tu.
 
Usilinganishe polisi ya zamani na haya matakataka ya sasa hivi!
 
Upolisi hapana. Huyo mtoto atakuwa na tatizo la akili na atakuwa na ukatili sana. Mtoto ambaye amelelewa kistaarabu hawezi tamani kuwa polisi.
 
Na atakushughulikia kweli kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
 
bora ajiunge na UVCCM
 
Akikua ataacha mbona wengi humu mlivokua wadogo mlitaka kua wanajeshi wengine madaktar ila Kwa Sasa mmkekua madalaliπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜‚
Huyo mpe muda Wala usipate shaka akimaliza shule ndo kitaeleweka
 
Mwambie aache ufala
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… Kuwa makini tu maana muda wowote kuanzia sasa anaweza kukuteka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…