Nifanyaje nije kuwa mkuu wa kituo nitakacho pangiwa

Nifanyaje nije kuwa mkuu wa kituo nitakacho pangiwa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habarini! Leo majina yatatoka na vituo tulivyo pangiwa hata yasipo toka leo ila ni lazima yatatoka hio ni panga pangua,either unapenda au hupendi na naamini lazima nipangiwe sasa mm hapa nilipo nafukuzia niwe mkuu wa shule nitakayo pangiwa nikifika niambieni nini nifanye ili niupate huo ukuu wa shule coz kwa mishahara yetu hii bila department huko kazini duuu ni shida! Kati ya hizi

Ukuu wa shule

Academic master

Au mwalimu wa chakula

Nifanyaje
 
tunatoa hzo nafari kwa wazoefu na ukikosa hizo hutafundisha vizuri(una uchu wa madaraka)
 
We fanya kazi kwa bidii zote utaukwaa tu ukuu wa shule.
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
hutopata hata cheo chochote hata mwl wa darasa hutopata .
 
Kuwa mbeya,mchonganish na mtina,halafu inaonekana we mhaya wapenda sifa na madaraka,yaan ufke upewe ukuu wakati wapo wazoef kwa miaka 20,hata ukuu msaidiz hawana,---- wewe
 
ukitaka ukuu wa Shule fanya uzinzi na mtoto wa shule tena wa primary au hata wa secondary utapata ukuu fasta ndani ya miez miwili.
 
Unataka hadi ukuu wa chakula??? Duh hapo ndo umeniacha hoi
 
Kuwa mbeya,mchonganish na mtina,halafu inaonekana we mhaya wapenda sifa na madaraka,yaan ufke upewe ukuu wakati wapo wazoef kwa miaka 20,hata ukuu msaidiz hawana,---- wewe

Sijaona tusi linalokufaaa we mazakanywafanta unayeendekeza ukabila.
 
Vaa shati la mikono mirefu; ndani ya mwezi tu tayari cheo hicho...!
 
naomba kuuliza? hivi una undugu na; yoweri mseveni, mobutu ssesseko, robert mugabe ?
 
Ndio uchawi unapoanzia hapo. Yaani hujapata ajira unawaza ubosi. Duh

Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom