Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Najua itakua msaada na kwa wengine pia hofu yangu nahisi hawa watu wakiwa na tabia hizi ndo mwanzo wa mpasuko kwenye ndoa Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafutie shughuli itakayomfanya awe busy mda woteNajua itakua msaada na kwa wengine pia hofu yangu nahisi hawa watu wakiwa na tabia hizi ndo mwanzo wa mpasuko kwenye ndoa Asante
NAKAZIABado hujachelewa!!
Kataa ndoa
Ndoa ni msongamano
Tunza kibunda chako!!
mpaka waache kupigwa na kutapeliwa hawa watu wasiosikiaHii Kampeni naona mmeiratibu vizuri sana Ndugu Mwenyekiti..
HAwajui vyema wanawake huyuHauna kazi za kufanya??
Kaja mjini na canter ya mihogoHAwajui vyema wanawake huyu
Ni kweli mkuu yani hana mipaka Yani hatari sanaMwambie awe nakipimo yeye ni mke wa mtu ajiheshimu kama hakuelewi mpeleke kwao kama adhabu akiwa tayari kujieshimu arudi, azoeane nawatu Kisa Nini ??
Mke wa mtu nikujisitiri,nakufanya vitu Kwa mipaka sio kuzoea watu kwani alipoolewa sialikabidhiwa wewe so adili na watu Kwa vipimo.
TrueNi kweli mkuu yani hana mipaka Yani hatari sana
Najua itakua msaada na kwa wengine pia hofu yangu nahisi hawa watu wakiwa na tabia hizi ndo mwanzo wa mpasuko kwenye ndoa Asante
Mara kadhaa nimefanya mkuu but wapWw ni mwaume, muite mkalishe chini mchane kuwa hupendi tabia hiz na hizi. simple as that