Nifanyaje niweze kumdhibiti mke wangu kuwa na mazoea na watu?

Nifanyaje niweze kumdhibiti mke wangu kuwa na mazoea na watu?

Mwambie awe nakipimo yeye ni mke wa mtu ajiheshimu kama hakuelewi mpeleke kwao kama adhabu akiwa tayari kujieshimu arudi, azoeane nawatu Kisa Nini ??
Mke wa mtu nikujisitiri,nakufanya vitu Kwa mipaka sio kuzoea watu kwani alipoolewa sialikabidhiwa wewe so adili na watu Kwa vipimo.
Thread closed
 
Huyo kuliwa kimasihara simple sana!
 
Utakuwa ni wewe mwenye huyu mwanamke mwenye mtoto mdogo sijui,

Muda wote yuko juu juu salon, kanisani, kwa majirani.

Pole
 
Huwezi mbadilisha mtu mzima tabia... Fanya mambo mengine...
 
Umemuoa au Umemnunua?

Bora ungekataa ndoa tu
 
Niliwahi kuwa na gf kipindi hicho cha sekondari, kila alipokuwa akiongea na me alikuwa aki-flirt nao, mara ya kwanza niliona kawaida ila wivu wivu uliponizidia nilimwambia "You can either stop or I'll have to do the same" ila haikusaidia tukaishia kubwagana.
 
Back
Top Bottom