Nifanyaje niweze kumdhibiti mke wangu kuwa na mazoea na watu?

Thread closed
 
Wakati una anza mahusiano nae hukuona hilo
 
Huyo kuliwa kimasihara simple sana!
 
Utakuwa ni wewe mwenye huyu mwanamke mwenye mtoto mdogo sijui,

Muda wote yuko juu juu salon, kanisani, kwa majirani.

Pole
 
Huwezi mbadilisha mtu mzima tabia... Fanya mambo mengine...
 
Umemuoa au Umemnunua?

Bora ungekataa ndoa tu
 
Niliwahi kuwa na gf kipindi hicho cha sekondari, kila alipokuwa akiongea na me alikuwa aki-flirt nao, mara ya kwanza niliona kawaida ila wivu wivu uliponizidia nilimwambia "You can either stop or I'll have to do the same" ila haikusaidia tukaishia kubwagana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…