mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Shukrani sana sana, ubarikiwe.Boss. Nenda uwanja ulio wazi. Chora mistari au weka alama kwa makopo ya maji. Unene wa njia uwe mita 2 hivi. Anza kuendesha katikati ya izo laini .
Usijifunzie directly kwenye barabara. Kuna madereva Impreza wanavurugu balaa.
Mambo ya garage na kukata kona wapi na wapi?Nenda kazikate kona huko na ukisha gongana huko ndiyo uje na posts na thread humu.Vipi wakuu?
Nimeanza kujifunza kuendesha gari, ninawezaje kumudu kukata kona kwa uzuri kabisa bila shaka? N akuhakikisha ninakaa kwney line yangu bila kukwangua pembeni.
Nipo ninasoma komenti.