Nifanyaje niweze kumudu kukata kona?

Nifanyaje niweze kumudu kukata kona?

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,027
Reaction score
1,869
Vipi wakuu?

Nimeanza kujifunza kuendesha gari, ninawezaje kumudu kukata kona kwa uzuri kabisa bila shaka? N akuhakikisha ninakaa kwney line yangu bila kukwangua pembeni.

Nipo ninasoma komenti.
 
Boss. Nenda uwanja ulio wazi. Chora mistari au weka alama kwa makopo ya maji. Unene wa njia uwe mita 2 hivi. Anza kuendesha katikati ya izo laini .

Usijifunzie directly kwenye barabara. Kuna madereva Impreza wanavurugu balaa.
 
Vipi wakuu?

Nimeanza kujifunza kuendesha gari, ninawezaje kumudu kukata kona kwa uzuri kabisa bila shaka? N akuhakikisha ninakaa kwney line yangu bila kukwangua pembeni.

Nipo ninasoma komenti.
Mambo ya garage na kukata kona wapi na wapi?Nenda kazikate kona huko na ukisha gongana huko ndiyo uje na posts na thread humu.
 
Back
Top Bottom