CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Sio tu utumwa ila hakuna kitu kibaya mtu mwingine kutumia masaa yako. Kuajiriwa maana yake wewe huna kazi na muda wako.Jiajiri kuajiriwa ni utumwa mdogo wangu pambana hakuna kisichowezekana ktk dunia hii
Kinacho hitajika ni Commitment na Confidence mkuu.Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au niajiriwe kwenye taasisi flan kwa malipo ya 400,000 kwa mwezi. Jee kipi sahihi kufanya kwa muda huu?
Fuata moyo wako utakalo liona jema fanyaMimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au niajiriwe kwenye taasisi flan kwa malipo ya 400,000 kwa mwezi. Jee kipi sahihi kufanya kwa muda huu?