CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Sio tu utumwa ila hakuna kitu kibaya mtu mwingine kutumia masaa yako. Kuajiriwa maana yake wewe huna kazi na muda wako.Jiajiri kuajiriwa ni utumwa mdogo wangu pambana hakuna kisichowezekana ktk dunia hii
Kuna siku nitawalezea humu Story Muanzilishi wa KK Guard ile kampuni ya Ulinzi.
Ukisomo story yake unaweza lia
Post sent using JamiiForums mobile app