Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

Una uzoefu gan mkuu au kuvutiwa na bishara gani? Tunaweza kushauri kinachoendana
 
Una uzoefu gan mkuu au kuvutiwa na bishara gani? Tunaweza kushauri kinachoendana
Mzee mie uzoefu wangu wa magari na mashine zinazo tengeneza barabar nimetafuta kazi nimekosa natak niuze simu yangu nije dar nifanye biashara tu maan na life ngumu sana
 
Kwa kuwanza biashara ya uwakala inakufaa, kwa uzoefu wako biashara ya car wash na uzaji wa spea ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom