kingkaka_12
Member
- May 17, 2021
- 17
- 22
Uza duka la mahitaji ya kila siku ya nyumbaniHabari Ndugu wa Jf,
Natumaini wazima nilikuwa naomba ushauri wa bizness nina 1millon naweza fanya biashara gani Dar es Salaam
Kokote ambako kun mzunguko maan mie mgeniDar maeneo gani
Sawa shukrnUza duka la mahitaji ya kila siku ya nyumbani
Mzee mie uzoefu wangu wa magari na mashine zinazo tengeneza barabar nimetafuta kazi nimekosa natak niuze simu yangu nije dar nifanye biashara tu maan na life ngumu sanaUna uzoefu gan mkuu au kuvutiwa na bishara gani? Tunaweza kushauri kinachoendana
Unaendesha malori semi trailer?Mzee mie uzoefu wangu wa magari na mashine zinazo tengeneza barabar nimetafuta kazi nimekosa natak niuze simu yangu nije dar nifanye biashara tu maan na life ngumu sana
Unaendesha malori semi traile
Hapan sina uzoefu nayo sana ila nimeendesha sana gari ndogo na hizi tipa na dumberUnaendesha malori semi trailer?
Niuzeje naomba unielewesheUza hela mkuu
Saw bro nashukuruKwa kuwanza biashara ya uwakala inakufaa, kwa uzoefu wako biashara ya car wash na uzaji wa spea ni nzuri zaidi
Haiwezekani kaka , mtaji mdogoUza duka la mahitaji ya kila siku ya nyumbani
Karibu dar ila hakikisha wewe sio mlalamishi/ mlalamikaji😅😅😅Mzee mie uzoefu wangu wa magari na mashine zinazo tengeneza barabar nimetafuta kazi nimekosa natak niuze simu yangu nije dar nifanye biashara tu maan na life ngumu sana
Kwann umesem hv bro😂Karibu dar ila hakikisha wewe sio mlalamishi/ mlalamikaji😅😅😅
Huu mji sio wa lele mama kakaKwann umesem hv bro😂