Wafujo
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 451
- 1,006
Fanya biashara ya pweza na ngisi, kwa kuuza vipande vipande na mchuzi wake.Mm Nipo mkoa wa Tanga, Kwa laki tatu naweza fanya biashara gan inayoweza niingizia elf5 per day wakuu naombeni ushauri wenu please!