Wafujo JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 451 Reaction score 1,006 May 23, 2024 #21 mhappacrithony97 said: Mm Nipo mkoa wa Tanga, Kwa laki tatu naweza fanya biashara gan inayoweza niingizia elf5 per day wakuu naombeni ushauri wenu please! Click to expand... Fanya biashara ya pweza na ngisi, kwa kuuza vipande vipande na mchuzi wake.
mhappacrithony97 said: Mm Nipo mkoa wa Tanga, Kwa laki tatu naweza fanya biashara gan inayoweza niingizia elf5 per day wakuu naombeni ushauri wenu please! Click to expand... Fanya biashara ya pweza na ngisi, kwa kuuza vipande vipande na mchuzi wake.