Nifanye biashara gani mbadala na duka?

wakatipesa

New Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
4
Reaction score
4
Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi
ASANTENI SAANA.
 
Fanya tathmini ya Mifumo yako:Shida ni wateja wachache?Huduma hazitoshelezi?Ushindani ni Mkubwa Kiasi gani?Mtaji unatosha?Nani msimamizi wa Biashara?Koma nalo kwanza uzoefu wake utakufungulia Milango mingine.
 
Anzisha danguro.
 
Hakuna biashara nzuri kama duka genge...jaribu kuhama...nenda nje ya mji...kwenye miji mipya...i.e.Mpiji Magohe
 
Mkuu,biashara ya duka sio biashara.So Sema tu una duka ila sio biashara.Soa sema sasa ninaduka ila ninataka kuanza biashara ili uambiwe namna ya kulifanya duka lako liwe biashara au namna ya kufanya biashara....Biashara inapaswa Ikupe faida ya kutosha kujiendesha na kuendesha maisha yako pamoja na ziada kwa ajili ya akiba au uwekezaji mwingine.Ikikosekana hiyo basi sio biashara bado....
 
Asante kwa ushauri nitaufia kaki
 
Hakuna biashara nzuri kama duka genge...jaribu kuhama...nenda nje ya mji...kwenye miji mipya...i.e.Mpiji Magohe
Asante maoni yako ni mazuri pia ila ukienda huku unaenda kuanza upya tena
 
Duka la jumla la pombe kali na mvinyo
 
Duka la jumla la pombe kali na mvinyo
 
Ongeza kiduka chengine ukusanye faida sehem mbili

Tafuta location ambayo watu ndio wanaanza makazi lakini panapokua kwa kasi kama alivyokushauri mdau hapo waweza kuta hapo pakakuamsha hilo ulioanza nalo likawa mbadala tu
 
Kila mtu na kitu chake alichopewa na Mungu...
Kuna watu MADUKA kwao ndio maisha....na kwa wengine duka kamwe hawaliwezi hata awekeze milioni ngapi hatasonga......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…