Mtoto ataingia darasani saa ngapi?Wanafunzi wa form 1 hadi 6 wawekee kuingiza nyimbo kwenye simu,cafe ya cmpt hata tatu(kipindi cha matokeo unapiga fedha),cards,etc
Usikate tamaa utapata tu majibu humu humuwakuu
nimepata frem kwenye eneo la shule.mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa.ila wameniambia saluni hapana.maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.
kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana.za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
fanya hiyo hiyo ya chakula weka vitu vitamu vitamu watoto wanapenda chapati, mihogo na ujanja wa kuwavuta ni kachumbari matata, vitumbua,sambusa, barafu hasa za ukwaju (kuna mdau huku jf ni mtaalam ) , utashangaa jinsi utatoboa, chupi za kike, pigisha pasport size, henkachifu nzuri, vichocolate vidogo vidogo, stika za ailavyuu, deodorant za bei rahisi,wakuu
nimepata frem kwenye eneo la shule.mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa.ila wameniambia saluni hapana.maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.
kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana.za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
kweli.niweke mchanganyiko wa vituFanya biashara za vyakula,Kama shule ya ni bording weka tu duka la vitu vyote mfano kama sabuni ila kwa watoto wa kiume kununua itakuwa shida kidogo,weka nguo za ndani za mabint wa kike hapo utaoiga pesa
asante mkuufanya hiyo hiyo ya chakula weka vitu vitamu vitamu watoto wanapenda chapati, mihogo na ujanja wa kuwavuta ni kachumbari matata, vitumbua,sambusa, barafu hasa za ukwaju (kuna mdau huku jf ni mtaalam ) , utashangaa jinsi utatoboa, chupi za kike, pigisha pasport size, henkachifu nzuri, vichocolate vidogo vidogo, stika za ailavyuu, deodorant za bei rahisi,
pia uza chumvi, mafuta ya kupikia, mchele,sukari kwa hao wanaopika
unaweza kuuza mishkaki, kachori, firigisi, kababu, kashata na chipsi za kupima hapo utawapata wengi
Mtazamo wangu ulikuwa ni wa huduma za kifedha (airtel money,mpesa etc) kama wengi wako bweniwengi wako day.ila kuna boarding wachache