Nifanye biashara gani naomba ushauri katika haya mazingira

mamii90

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
380
Reaction score
266
wakuu
Nimepata frem kwenye eneo la shule mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa ila wameniambia saluni hapana maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.

kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
 
Wanafunzi wa form 1 hadi 6 wawekee kuingiza nyimbo kwenye simu,cafe ya cmpt hata tatu(kipindi cha matokeo unapiga fedha),cards,etc
 
Sijaelewa.

Yaani kwakua vyakula vinapikwa sana ndiyo wamekukatalia saluni ya kunyoa?
 
Wanafunzi wa form 1 hadi 6 wawekee kuingiza nyimbo kwenye simu,cafe ya cmpt hata tatu(kipindi cha matokeo unapiga fedha),cards,etc
Mtoto ataingia darasani saa ngapi?

Atakuja kuingiza wimbo saa ngapi?

Ok otea mwenyekiti wa serikali ya mtaa atakufuata saa ngapi akiwa na wagambo kukuambia unapiga kelele eneo la shule.
 
Fanya biashara za vyakula,Kama shule ya ni bording weka tu duka la vitu vyote mfano kama sabuni ila kwa watoto wa kiume kununua itakuwa shida kidogo,weka nguo za ndani za mabint wa kike hapo utaoiga pesa
 
wakuu
nimepata frem kwenye eneo la shule.mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa.ila wameniambia saluni hapana.maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.
kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana.za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
Usikate tamaa utapata tu majibu humu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu
nimepata frem kwenye eneo la shule.mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa.ila wameniambia saluni hapana.maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.
kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana.za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
fanya hiyo hiyo ya chakula weka vitu vitamu vitamu watoto wanapenda chapati, mihogo na ujanja wa kuwavuta ni kachumbari matata, vitumbua,sambusa, barafu hasa za ukwaju (kuna mdau huku jf ni mtaalam ) , utashangaa jinsi utatoboa, chupi za kike, pigisha pasport size, henkachifu nzuri, vichocolate vidogo vidogo, stika za ailavyuu, deodorant za bei rahisi,

pia uza chumvi, mafuta ya kupikia, mchele,sukari kwa hao wanaopika

unaweza kuuza mishkaki, kachori, firigisi, kababu, kashata na chipsi za kupima hapo utawapata wengi
 
Uza ice crem,popcorn, kashata,visheti,tambii juice
 
Fanya biashara za vyakula,Kama shule ya ni bording weka tu duka la vitu vyote mfano kama sabuni ila kwa watoto wa kiume kununua itakuwa shida kidogo,weka nguo za ndani za mabint wa kike hapo utaoiga pesa
kweli.niweke mchanganyiko wa vitu
 
fanya hiyo hiyo ya chakula weka vitu vitamu vitamu watoto wanapenda chapati, mihogo na ujanja wa kuwavuta ni kachumbari matata, vitumbua,sambusa, barafu hasa za ukwaju (kuna mdau huku jf ni mtaalam ) , utashangaa jinsi utatoboa, chupi za kike, pigisha pasport size, henkachifu nzuri, vichocolate vidogo vidogo, stika za ailavyuu, deodorant za bei rahisi,

pia uza chumvi, mafuta ya kupikia, mchele,sukari kwa hao wanaopika

unaweza kuuza mishkaki, kachori, firigisi, kababu, kashata na chipsi za kupima hapo utawapata wengi
asante mkuu
 
Back
Top Bottom