Nifanye biashara gani? Nataka kuingiza kipato cha ziada

painboy

Senior Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
110
Reaction score
51
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.

Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.

Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.

Cha pili nikafungua account Instagram nikaanza kupost mambo ya mazoezi na diet na kuanza kualika watu wa online training.

Ila wadau kwa mwaka huu wa 2020 nataka nianze biashara nyingine ambayo haitaingiliana na kazi yangu.

NILIKUWA NAOMBA MNITAJIE BIASHARA AMBAZO HAZITAINGILIANA NA KAZI YANGU.

KARIBUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua tractor mbili sawa na Billion 1, alafu zipeleke shamba zitakulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hemb kua serious mzee, mm napenda utani lkn sehem km hizi km siwezi msaidia mtu na mute...Mtu ashaeleza hali halisi ya Kipato na kazi unamwambia anunue tractor za 1bn?

Halaf mbaya zaidi unaandika haya wewe ambaye huishi mada za ugumu wa maisha na mtaji

unajaribu kupambana kwa kila namna kutoka lkn mambo yanagoma km si kuchelewa,

Hivyo naamini ni makusudi tu sio km hujamwelewa au huielewei hali... na kwa namna flan PENGINE ni mwenzako...
Hata wewe ukikutana na majib km haya kwenye zile mada zako utajiskiaje mzee?
Mfano hii ya jana tuuu....

Mtu akaja kukuambia nenda Paris, Singapole, Tokyo au Shaghai utamwelewaje?

Kwa haraka haraka tuu huyu mtu kuna baadhi ya vitu mna share.....

Common ambitions/targets....
Common life situations....
Common needs....
Common problems...
Common Agenda....
Common locations(wote mpo dar)....
Common way of sharing/meeting as it happen now here jf.....

Ni rahisi ku part na mtu km huyu..
either ki mawazo au ki kivitendo mkafanya kitu kimojaa kikafanikiwa na mkafanya jambo.......

Kuna vitu tunakosea, unapambana lkn huchomoi, unahangaika kitafta shida ipo wapi kumbe shida umeibeba na suluhisho nalo umelibeba

Km kuna sehem nimekukwana Tusameheane sio lengo kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi wakuu,natumaini mmeamka salama tayari kwa mapambano.Nmeandika huu uzi nikihitaji msaada wenu.Mimi ni mtumishi na napenda sana kujishughulisha na Kilimo na hasa ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa isiokuwa ng'ombe hawa wanauzwa kwa bei ya gharama sana kiasi kwamba nashindwa kumudu kutokana na ugumu wa maisha na kipato ninachokipata.Katika mkoa ninaoishi ardhi si mali sana kwani inapatikana kwa urahisi na hasa ardhi yenye udongo wa mfinyanzi.Katika kijijicha jirani kuna mradi wa Namaingo ni wa siku nyngi ila naona umesimama na majengo yamebakia yanaharibika na eneo linakuwa pori,hivyo basi maombi yangu kwenu ni haya hapa
:Ninaomba namba za mama wa namaingo ama tu wake wa karibu ili angalau nikodishe majengo yake maana yanapotea..nyufa kila kona.
2:Ninaomba kujua ni aina gani ya ng'ombe bora wa maziwa ambae ataweza kutoa zaidi ya lita 30 per day.
3:Gharama zake na wapi wanapopatikana,kama wanapatikana kwa mkopo ama mkataba maalum ingekuwa poa sana.
4:Natoa shukrani za dhati kwa msaada wako.Nawasilisha.

Hapa sina ujuzi wa kukusaidiaaa..
Ushauri wangu...
Fungua uzi ulizia
'Mwenye uzoefu/ujuzi wa ng'ombe wa Maziwa na upatikanaji wake'

Ni rahisi Mhusika/mzoefu/mjuzi kufungua uzi na akakupa huo msaada sbb unamgusa kwa namna flani,
kuliko kuandika ndani ya uzi mwingne wenye maudhui mengine.....

Ila hilo la sijui namba mama Namaingo Tafta njia nyingene ya kuipata hio namba,
Mfn kwenda eneo husika kuulizia majirani au Wenyeji wa mda mrefu wa eneo husika n.k n.k..

Hivi kweli mkuu hujataja hata sehem watu wakaunganisha dot pengne wanamfahamu/wanamsikia mama namaingo kwa eneo hilo wewe unasema tuu mwenye namba yake unaomba?

Ungetaja jina la kijiji angalau kdg, Sasa wewe unasema tuu kijiji unachoishi kina udogo wa mfinyanzi....! Serious.......?

Ni sawa na mm hapa nije kuomba namba ya Namba ya Anko wangu Juma ana anasajili laini...

Badilisha njia, Unless huyu Mama awe Maarufu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hemb kua serious mzee, mm napenda utani lkn sehem km hizi km siwezi msaidia mtu na mute...Mtu ashaeleza hali halisi ya Kipato na kazi unamwambia anunue tractor za 1bn?

Halaf mbaya zaidi unaandika haya wewe ambaye huishi mada za ugumu wa maisha na mtaji

unajaribu kupambana kwa kila namna kutoka lkn mambo yanagoma km si kuchelewa,

Hivyo naamini ni makusudi tu sio km hujamwelewa au huielewei hali... na kwa namna flan PENGINE ni mwenzako...
Hata wewe ukikutana na majib km haya kwenye zile mada zako utajiskiaje mzee?
Mfano hii ya jana tuuu....

Mtu akaja kukuambia nenda Paris, Singapole, Tokyo au Shaghai utamwelewaje?

Kwa haraka haraka tuu huyu mtu kuna baadhi ya vitu mna share.....

Common ambitions/targets....
Common life situations....
Common needs....
Common problems...
Common Agenda....
Common locations(wote mpo dar)....
Common way of sharing/meeting as it happen now here jf.....

Ni rahisi ku part na mtu km huyu..
either ki mawazo au ki kivitendo mkafanya kitu kimojaa kikafanikiwa na mkafanya jambo.......

Kuna vitu tunakosea, unapambana lkn huchomoi, unahangaika kitafta shida ipo wapi kumbe shida umeibeba na suluhisho nalo umelibeba

Km kuna sehem nimekukwana Tusameheane sio lengo kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipaniki mjomba

Hapo maanayake nimemwambia mbona ujaweka mtaji ulionao, anaomba ushauri wa biashara then ajasema mtaji wake.

Mbona kama unajiunga leo na JF ujui tunavyofanyaga mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hemb kua serious mzee, mm napenda utani lkn sehem km hizi km siwezi msaidia mtu na mute...Mtu ashaeleza hali halisi ya Kipato na kazi unamwambia anunue tractor za 1bn?

Halaf mbaya zaidi unaandika haya wewe ambaye huishi mada za ugumu wa maisha na mtaji

unajaribu kupambana kwa kila namna kutoka lkn mambo yanagoma km si kuchelewa,

Hivyo naamini ni makusudi tu sio km hujamwelewa au huielewei hali... na kwa namna flan PENGINE ni mwenzako...
Hata wewe ukikutana na majib km haya kwenye zile mada zako utajiskiaje mzee?
Mfano hii ya jana tuuu....

Mtu akaja kukuambia nenda Paris, Singapole, Tokyo au Shaghai utamwelewaje?

Kwa haraka haraka tuu huyu mtu kuna baadhi ya vitu mna share.....

Common ambitions/targets....
Common life situations....
Common needs....
Common problems...
Common Agenda....
Common locations(wote mpo dar)....
Common way of sharing/meeting as it happen now here jf.....

Ni rahisi ku part na mtu km huyu..
either ki mawazo au ki kivitendo mkafanya kitu kimojaa kikafanikiwa na mkafanya jambo.......

Kuna vitu tunakosea, unapambana lkn huchomoi, unahangaika kitafta shida ipo wapi kumbe shida umeibeba na suluhisho nalo umelibeba

Km kuna sehem nimekukwana Tusameheane sio lengo kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
duh! Umeua mkuu nadhani wote wenye majibu ya kijinga kana kwamba ubongo wao umejaa mashuduujumbe wataupata
 
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.

Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.

Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.

Cha pili nikafungua account Instagram nikaanza kupost mambo ya mazoezi na diet na kuanza kualika watu wa online training.

Ila wadau kwa mwaka huu wa 2020 nataka nianze biashara nyingine ambayo haitaingiliana na kazi yangu.

NILIKUWA NAOMBA MNITAJIE BIASHARA AMBAZO HAZITAINGILIANA NA KAZI YANGU.

KARIBUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ningekushauri kufanya kitu ambacho kinahusiana na kazi hiyo unaifanya maana una ujuzi na uzoefu nayo.

Fungua blog/youtube channel inayooelezea maswala ya fitness.

Kwa sababu wapo watu wanaosearch goole kuhusu vifaa vya mazoezi na bei yake.

Kwenye blog, moja iwe ya kiingeleza na nyingine ya kiswahili.

Jiunge na amazon affiliate program uwe unaweka link ya vifaa vya mazoezi toka amazo kwenye articles zako.

Pia blogs unaweza kuiunga na adsense. Au ongea na wauzaaji wa vifaa vya gym uwe unaweka matangazo kwenye channel yako au blog ama uuze vifaa vya mazoezi vyenye mtaji mdogo kupitia blog zako.

Japo inachukua muda, ila ni moja njia nzuri kutumia ujuzi wa kitu unachokifanya.

Angalia mfano wa youtube channel huyu jamaa anaitwa Mike Thurston.

Anaelezea tu mambo ya gym na inamnufaisha kiuchumi pia. Kwa hiyo mzee unaweza ukaifanya kazi kuwa njia nyingine ya kukutengenezea kipato.
 
Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.

Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.

Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.

Cha pili nikafungua account Instagram nikaanza kupost mambo ya mazoezi na diet na kuanza kualika watu wa online training.

Ila wadau kwa mwaka huu wa 2020 nataka nianze biashara nyingine ambayo haitaingiliana na kazi yangu.

NILIKUWA NAOMBA MNITAJIE BIASHARA AMBAZO HAZITAINGILIANA NA KAZI YANGU.

KARIBUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekushauri kufanya vitu vinavyo usiana na kazi yako, itakuwa rahisi kwako.

1. Unaweza kuanza kutoa ushauri wa mazoezi na diet kama unavyofanya kwenye instagram ila unatoa specific kulingana na mahitaji ya mtu.
Jiunge hapa bure www.ajiras.com na u post kuwa unatoa ushauri wa mazoezi.

2. Kwenye mtandao huo huo, unaweza pia kuanza kufanya private tutor ya mazoezi.

3. Cheki kii page ya instagram @berogenge hawa kwa uwezo wowote ulio nao, unaweza kuagiza nguo za mazoezi na gloves kutoka china na kuwauzia wateja wa gym kama unavyo fanya maji. Pia unaweza wauzia vitu kama protein shake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.

Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.

Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.

Cha pili nikafungua account Instagram nikaanza kupost mambo ya mazoezi na diet na kuanza kualika watu wa online training.

Ila wadau kwa mwaka huu wa 2020 nataka nianze biashara nyingine ambayo haitaingiliana na kazi yangu.

NILIKUWA NAOMBA MNITAJIE BIASHARA AMBAZO HAZITAINGILIANA NA KAZI YANGU.

KARIBUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna biashara zingine za kimtandao unaweza zifanya, ni zile zinazohusika na block chain sijui wanaita, na ni kwamba kwako itakuwa rahisi kwa sababu tayari utaitangaza katika Instagram page yako
 
Back
Top Bottom