painboy
Senior Member
- Dec 27, 2019
- 110
- 51
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.
Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.
Cha pili nikafungua account Instagram nikaanza kupost mambo ya mazoezi na diet na kuanza kualika watu wa online training.
Ila wadau kwa mwaka huu wa 2020 nataka nianze biashara nyingine ambayo haitaingiliana na kazi yangu.
NILIKUWA NAOMBA MNITAJIE BIASHARA AMBAZO HAZITAINGILIANA NA KAZI YANGU.
KARIBUNI.
Sent using Jamii Forums mobile app