Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Sure na wala sio kwamba "unaona" bali ndo uhalisia kwa 100% coz' VQ ni kazi ya kupita isiyo na base yoyote unless kama anaamua kuwa na agency/literary agency yake mwenyewe ya VQ kisha aanze kula commission!!!!Atleast movie...
Video queen mmmh naona kama itamgharimu pindi umri utavyosogea.
Maybe kwa sasa anaweza akawa anafanya vyote ila movie ndo mwake!