Nifanye filamu au nibaki kuwa 'video queen'?

Nifanye filamu au nibaki kuwa 'video queen'?

hatafute mume aolewe ama sivyo kwa tamaa za kidemu atabebeshwa sembe aishiee jera
ama awe dada wa mjini kubadili mabwan mana itafika wakati ataona ni bonge la supastaa so ata bajaj ataona siyo hadhi yake tenaa ataa za kuiba waume za watu
 
Mbona kama umri wake umeenda hivi?
Halafu mtu mwenyewe wa kawaida saaana

Huko nyuma ni flat nini mbona hujaleta picha nzima?

Aah,Abaki tu kwenye hiyo saluni.
 
etu weka picha tukuone na uhani sura hata masoud sura mbaya anayo
 
Atleast movie...
Video queen mmmh naona kama itamgharimu pindi umri utavyosogea.
Maybe kwa sasa anaweza akawa anafanya vyote ila movie ndo mwake!
 
Atleast movie...
Video queen mmmh naona kama itamgharimu pindi umri utavyosogea.
Maybe kwa sasa anaweza akawa anafanya vyote ila movie ndo mwake!
Sure na wala sio kwamba "unaona" bali ndo uhalisia kwa 100% coz' VQ ni kazi ya kupita isiyo na base yoyote unless kama anaamua kuwa na agency/literary agency yake mwenyewe ya VQ kisha aanze kula commission!!!!
 
Amekunywa lita nyingi sana za maji, mbona mweupe hivyo.

Tuwekee ankara/bili za malipo ya DAWASA kama amelipia hayo maji kihalali...ndio tuhakiki uadilifu wake.
 
Back
Top Bottom