Kama problem ni harufu bas tembea na pafyumuKuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
Kwa maelezo ya mtoa mada haitaji biashara kubwa ya ku-sattle sehemu moja, anahitaji biashara ya supply ambayo kwasiku hakosi 20,000/= nilimuelewa ndio maana nikamwambia anichekiFungua mama ntilie watu wanaidharau lakini inalipa kama ww mwenyewe ukijitambua usikubali kuchanganya mapenz na masuala ya kushikana ovyo ukijiheshimu ili uweze kuattract wateja kwa siku utapata ela nyingi angalia eneo lenye population,mtaji,usafi utapiga pesa mwenyewe utashangaa by Armando
Ni kweli lakini ni ngumu sana labda uumpe connectionKwa maelezo ya mtoa mada haitaji biashara kubwa ya ku-sattle sehemu moja, anahitaji biashara ya supply ambayo kwasiku hakosi 20,000/= nilimuelewa ndio maana nikamwambia anicheki
Inawezekana ila uthubutu unahitajika, unajua kuna mishe unaweza pata mpaka 35,000/= kwa siku ila kujitoa kunahitajika sasa kwa nature ya watu sisi inahitaji uthubutuNi kweli lakini ni ngumu sana labda uumpe connection
Nilifikiri utasema isiwe na kuuza papa,uza papuchi mimi ntakuwa mteja wako wa kwanza,uza uwe kama rafiki ako kidotiKazi haramu kama IPI? Mwenyewe naitaka hiyo hela faster ila haramu hiyo isiwe ujambazi wala kubeba madawa
Tupe mchongo huoInawezekana ila uthubutu unahitajika, unajua kuna mishe unaweza pata mpaka 35,000/= kwa siku ila kujitoa kunahitajika sasa kwa nature ya watu sisi inahitaji uthubutu
Kazi gani hiyoUnapata kabisa hiyo pesa tena nΓ£ zaidi ya hapo tena ni kazi halali kabisa ila inabidi ujitoe kweli hii kazi. Mtaji 50K hadi 100K
Nipe huo mchongo manInawezekana ila uthubutu unahitajika, unajua kuna mishe unaweza pata mpaka 35,000/= kwa siku ila kujitoa kunahitajika sasa kwa nature ya watu sisi inahitaji uthubutu
Wengine hawanuki kibeberu, wananukia safiKuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
Hii kitu ni kweli kabisa ushauri huu aufanyie kazi na kwa hapo Dodoma inawezekana kabisaFungua mama ntilie watu wanaidharau lakini inalipa kama ww mwenyewe ukijitambua usikubali kuchanganya mapenz na masuala ya kushikana ovyo ukijiheshimu ili uweze kuattract wateja kwa siku utapata ela nyingi angalia eneo lenye population,mtaji,usafi utapiga pesa mwenyewe utashangaa by Armando
Hii kitu ni kweli kabisa ushauri huu aufanyie kazi na kwa hapo Dodoma inawezekana kabisa[/QUOTEAhsante kwa kuliona hili maana watu wengi wanadharau io kazi
ππππππKuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
Sio lazima kulala, short time mnasimama tu.Kuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana