Nifanye kazi gani nipate laki tano kwa siku 30?

Tafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.

Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.

Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.

Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
Nielekeze zaidi nakuja pm
 
Hii unafanyaje nipe mwanga kidogo
 
Ndugu tupe ufafanuzi kidogo kuhusu suala hili, kana ni kuandika unakua unawaandikia kitugani na kama ni ku uppload picha na video ni za aina gani
 
Ushauri Wangu Huu
Hongera Sana Kwa Hatua Kubwa Sana Kwenye Maisha Ambayo Ni Ngumu
Nia Yako Ni Nzuri Sana Umalize Nyumba Uwe Unatoka Kwako
Hapa Utapewa Ushauri Mwingi Lakini Lazima Uuchuje Sana Kufikia Malengo

Itapendeza Ukiwa Mvumilivu Na Subira Kuliko Kufanya Haraka Na Kujutia
Unaweza Kuweka Mlango Wa Chumba Kimoja Na Dirisha Tu Ukahamia
Kuliko Yote Wakati Uwezo Hauruhusu
 
Hii unafanyaje nipe mwanga kidogo
Kuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'

Zile nyuzi wanazitoa online kutoka kwenye website ya Listverse. Now Listverse hawawezi kuandika kila kitu wao hivyo wanaajiri freelancers wa kuandika maudhui yao.

Wanalipa Dola 100 wakikubali utakachowaandikia. Isipokua wanalipa kwa kutumia Paypal ambayo kwa Tz ukiwa na akaunti ya Paypal hautaweza kupokea pesa hivyo hakuna mtu aliye Tz ataweza kulipwa.

Websites ambazo hazitumii Paypal hulipa pesa kidogo. Mfano Mysterious world wanalipa dola 25 hivyo tafuta website itakayokuridhisha, fanya nao kazi. Fuatisha masharti yao ya uandishi ukikubaliwa article yako wanakulipa.

Picha ulipwaji wake utategemea na unapoupload na camera yako pia. Mfano picha za smartphone huwezi kuziweka Getty image au Stock photo ukatarajia pesa ndefu.

Pia malipo ni tofauti na website. Mfano sehemu nyingine watakulipa kadri watu wanavyodownload picha yako na sehemu nyingine watakulipa hapo hapo ila watu wakidownload picha ulizoweka haupati tena kitu.
 
Shukrani. Hii nzuri aisee
 
Back
Top Bottom