- Thread starter
- #21
Nielekeze zaidi nakuja pmTafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.
Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.
Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.
Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.