Taja alama zako 2one.
chem C,bio B,geoC,math D
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?
1:Kurisiti
2:Chuo(chuo gani)
3:Jeshi(kama nafasi zipo)
4πolisiI (kama nafasi zipo)
Imebalance comb ya CBG na HKL
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?
1:Kurisiti
2:Chuo(chuo gani)
3:Jeshi(kama nafasi zipo)
4πolisiI (kama nafasi zipo)
Imebalance comb ya CBG na HKL
Over!!sio wote waliochaguliwa watakwenda mashuleni andika barua ya kuomba nafasi baada ya kukosa selection ambatanisha na vyetvyako panda wizaran mwenyew idara ya secondary mmpaka ndaneleza matatizo yako utapata shule wengi wanapata