Nifanye kipi kati ya hivi, sijachaguliwa kuingia kidato cha tano

Nifanye kipi kati ya hivi, sijachaguliwa kuingia kidato cha tano

BEUTI

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
20
Reaction score
3
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?

1:Kurisiti

2:Chuo(chuo gani)

3:Jeshi(kama nafasi zipo)

4😛olisiI (kama nafasi zipo)

Imebalance comb ya CBG na HKL
 
kama una hela kasome advance shule ya private ila kwa ufaulu huo utapata second selection kwan wanafunzi wengi walotoka shule za private huwa hawaripoti kwenye vituo vyao
 
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?

1:Kurisiti

2:Chuo(chuo gani)

3:Jeshi(kama nafasi zipo)

4😛olisiI (kama nafasi zipo)

Imebalance comb ya CBG na HKL

Usijaribu Kurisit !
For approximation tegemea a mass of failure mwakani !

Pili achana na Jeshi kama kiuwezo kwenu ni mdogo !

Kama atleast uko serious nenda Advance !
 
Eti jamani VP kuhusu kusomea laboratory iko poa
 
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?

1:Kurisiti

2:Chuo(chuo gani)

3:Jeshi(kama nafasi zipo)

4😛olisiI (kama nafasi zipo)

Imebalance comb ya CBG na HKL

sio wote waliochaguliwa watakwenda mashuleni andika barua ya kuomba nafasi baada ya kukosa selection ambatanisha na vyetvyako panda wizaran mwenyew idara ya secondary mmpaka ndaneleza matatizo yako utapata shule wengi wanapata
 
Over!!
Roger That BEUTI.
Umefinito kila kitu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom