KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mkuu unaomba matatizo!!!!!??????Wakuu hili linaninyima kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..