Nifanye nini au nile vitu gani ili na mimi niwe na KITAMBI?...

Nifanye nini au nile vitu gani ili na mimi niwe na KITAMBI?...

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Wakuu hili linaninyima kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
 
Hilo tuu!tupia bia ya kitanzania na nyama choma kuanzia leo.halafu ridhika na maisha yako.kama hiyo dawa haijakufaa tafuta za kkichina
 
Wakuu hili linaninyima kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
Mkuu unaomba matatizo!!!!!??????
 
Unajua bmi yako? Kama hauko underweight achana na hizo stori za kitambi. Wanapendeza lakini mwisho wake si mwema.
 
Kula nyama au vitu vyenye mafuta kwa wingi then ukimaliza kunywa maji mengi ya baridi baada ya wiki npe jibu.
 
kunywa vikombe 3 vya mafuta ya kupikia kwa siku.kimoja asubuh.mchana na jioni
 
kitambi kinaashiria Magonjwa kama kisukari, magonjwa ya moyo yanakuwinda.
 
Back
Top Bottom