Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

Kubaliana na hali yako, fanya ya uwezo wako katika ulingo wa uhalali

Usinunue kitu bila ya kuwa na uhakika wa documents zinazoambatana nazo za uhakika.

Ukikopa lipa. Ukikopesha iwe chini ya shahidi.

Mwisho achana na utapeli wa Hamas na Iran
 
Usitembee na mke wa mtu
Usivute bangi
Usilewe pombe
Usitukane
Usiwe na marafiki wahuni,wezi n.k
Usinunie Mali ya wizi.
Usidhulumu
Usilawiti
Usipigane
Waheshimu wazazi wako,
Usigombane na mwanamke achana nae kama hakutaki,usi shee mwanamke
Mche Mungu,toa sadaka.
Acha dhambi okoka
Usi
Wavuta bangi wengi wananafasi kubwa ya kuwa jela
 
Ili mradi uko hai na uko hapa Tz nikuhakikishie tu hakuna namna utakwepa hayo ambayo huyataki.
 
Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla.

Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi.

Ahsante sana.
Tafuta na fanya kilicho halali kwako (Kiimani na Kisheria) lakini ni ngumu sana au tuseme sio rahisi kihivyo eti nifanye nini au nizingatie......Kumbuka kesi inaweza kukufuata sio nyumbani tu bali hata chumbani kwako hata kama ww huitaki kesi. Mambo ya Polisi na Mahakama huja pale mtu anapotofautiana au kutokukubaliana na mtu mwenzake kwa maneno, matendo na kwa kutokutimiza wajibu.
 
1.Kuwa bwege Kwa kila Jambo.
2.Husishindane na Wenye Mamlaka au wenye Fedha.
3.Jiepushe na Marafiki, vijiwe, na uzulaji kama huna mahali pa kwenda Heri ujifungue ndani kwake ulale.
4. Epuka kamdomo, kuchangia Mada za kuwasema wengine, kuzungumzia mambo yasiyokuhusu wala kutoa Ushauri Kwa mambo ya watu.
5. Epuka Ajira za Ulinzi, Ajira za Fedha na Utunzaji Wa Mali. Kama kuna KAZI ya Kudeal na makaratasi au Nguvu ni Heri uifanye hizo.
6. Muombe Sana Mungu akutete kwenye hatua zako za Utafutaji na Maisha husiangalie huko.
7. Elewa Kwamba kukamatwa na kukaa kituo cha Polisi sio shida Sana wala Hakuna tatizo lolote baya. Ila kupelekea gerezani na kuburuzwa mahakaani hapo ndo balaa lilipo.
8. Tafuta pesa, miliki fedha.
9. Husigombane na mwanamke hakasema mapenzi yamefika mwisho, husimbembeleze muache aende
 
Anza kwa kubadili hilo jina kwanza, hilo jina tu KIFULU linaweza kukulaza polisi kaka
 
Kingine, kama ukipata demu mkali, bao la kwanza kojoa chini, kuomba mizimu ya babu zako ikusaidie usiingie kwenye taharuki mkuu, Thank me later
 
Back
Top Bottom